Wednesday, March 16, 2011

Matukio

Muuza maji na juice akijaribu kubembeleza wateja jana Kariakoo wanunue maji. kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa itakuwa ngumu sana kuelewa jinsi biashara hii itakavyofanyika maana msimu wa mvua ndio umeanza.


No comments:

Post a Comment