Ambilikile Mwasapile aka Babu akiwa amemwaga pozi na wasaidizi wake huko Loliondo, mkoani Arusha hivi karibuni, wakati akiendelea kutoa dozi ya kikombe, inasemekana karibu viongozi wote wa serikali wamepata dozi kwa babu, babu yuko juuuuu hahaahaaa
Tumuawaishe yasije tokea mengine bure. . . kama wanavyoonekana wakina mama wakimkimbiza mgojwa kwa babu Ambilikile Mwasapile huko Loliondo mkoani Arusha ili akapate kikombe hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment