Na Mwandishi wa Kimataifa
Immamatukio
Sithembiso Mutukura, msichana mwenye umri wa miaka 22 ndie aliibuka mshindi na kuwagaragaza wenzie 12 katika mashindano yaliyofanyika jijini Harare ijumaa machi 16.
Zimbabwe inakuwa ni nchi ya pili duniani kufanya mashindano hayo baada ya Kenya ambapo wao walimpata Mr na Miss Albinisim.
Angalia picha za warembo katika shindano hilo chini:-
No comments:
Post a Comment