Na Mwandishi Wetu
Immamatukio Blog
Mshindi wa medali ya dhahabu mara nane katika Olympic, Usain
Bolt, ameanza majaribio katika mchezo wa mpira wa miguu nchini Ujerumani katika
klabu ya Borussia Dortmund, kwa lengo la kuendeleza kipaji cha soka.
Mjamaika huyo ambaye ni mshindi wa mbio za mita 100 na 200 na
hatimaye kuweka rekodi ya dunia kuwa ni mru mwenye mbio Zaidi, alionekana
akifanya mazozi katika viwanja vya timu ya Borussia Dortmund mapema ijumaa
(jana).
Mwanariadha huyo mkongwe alisikika mara kadhaa akisema moja
ya ndoto yake ni kujiunga na kuchezea timu ya Manchester United ya nchini
Uingereza.
Tazama picha hapa:-
No comments:
Post a Comment