Tuesday, August 22, 2017

RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI ZAWADI ZA WACHEZAJI BORA NDONDO CUP

 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani  Kikwete akizungumza na familia ya Wanamichezo wakati wautoaji wa Tunzo za Mchezaji borawa michuano ya Ndondo Cup inayoandaliw ana kampuni ya CloudsMedia Group kupitia kipindi chake cha Sports Extra
  Mbunge wa Chalinze Ridhiwani  Kikwete, akikabidhi tunzo ya Mchezaji bora kwa kocha wa timu ya Misosi FcYenye maskani  yake Manzese

 Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma (DOREFA) Mulamu Nghambi akikabidhi zwadi kwa Refalii borawa michuano ya Ndondo Cup
 Mkurugenzi wa Vipindi wa kituo cha Televisheni na Radio ya Clouds , Shafii Daudaakikabidhi Zawadi ya Mwandishi bora wa Michuano ya Ndondo  Cup Charles Abel wa Mwananchi
 Dogo Janja akiwa katika picha ya pamoja marabaadaya kukabidhi zwadi kwa shabiki bora wa michuano ya Ndondo Cup

 Mpiga picha borawa Michuano ya Ndondo Cup , Rachel Palangyo akiwa na Tunzo yake mara baadaya kukabidhiwa
 Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha DRFA , Almas Kasongo akikabidhi zawadi ya heshima kwa Dr JJ Mwaka
 
 Dj Sinyorita kutoka kipindi cha XXL cha Clouds Fm akifanya yake katika utoaji wa Tunzo za watu waliofanya vizuri katika Michuano ya Ndondo Cup
 Mtangazaji wa kipindi cha Sports Extra , Mbwiga wa Mbwiguke akifanya yake ya kizaramo jukwaani
   Mbunge wa Chalinze Ridhiwani  Kikwete akimtunza Msanii wa Singeli Msaga Sumu
 Msanii wa Muziki wa SINGELI nchini Msaga Sumu akifanya yake Jukwaani
 
 Wadau wa mpira walioshiriki hafla hiyo ya utoaji Tunzo katika michuano ya Ndondo Cup
 Wadau wa mpira walioshiriki hafla hiyo ya utoaji Tunzo katika michuano ya Ndondo Cup


No comments:

Post a Comment