Tuesday, August 22, 2017
ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR Dk. SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI "B"
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika ufunguzi wa jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" wakati wa ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi leo
Baadhi ya Wananchi na Wazee wa Wanafunzi katika Skuli ya Skuli ya Kijitoupele wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara alipowasili katika ufunguzi wa jengo la madarasa 3 mapya yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" wakati wa ziara ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwapungia mkono Viongozi mbali mbali na Wananchi mara alipowasili katika ufunguzi wa jengo la madarasa 3 mapya ya Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Khadija Bakari (wa tatu kulia) wakati alipowatembelea Wanafunzi wa darasa la 4A baada ya kufungua jengo la madarasa 3 mapya ya Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" chini ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud(katikati) wakati wa ziara yake ya kutembelea Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Asma Salim Juma (wa pili kulia0 wakati alipowatembelea Wanafunzi wa darasa la 4A baada ya kufungua jengo la madarasa 3 mapya ya Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Khadija Bakari na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma(wa pili kulia) wakati wa ziara yake ya kutembelea Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipanda Mti wa Muembe kama kumbukumbu yake alipofungua jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" wakati wa ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipokea risala kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya magharibi "B" Ndg. Silima Haji Haji katika sherehe za ufunguzi wa jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" wakati wa ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" wakisikiliza Taarifa mbali mbali zilizotolewa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimkabidhi Cheti Sheha wa Shehia ya Pangawe Bw.Abdalla Juma Mtumweni kwa ushiriki wake katika ujenzi wa jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" wakati wa ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimkabidhi Cheti Sheha wa Shehia ya Pangawe Bw.Abdalla Juma Mtumweni kwa ushiriki wake katika ujenzi wa jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" wakati wa ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharib
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimkabidhi Nd,Hemedi Mwinchande Hemedi wa Zuri Zanzibar Hotel kwa kuchangia madawati katika madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya "MIMI NA WEWE" wakati wa ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment