Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (katikati) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (katikati) baada ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment