Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016.
Picha Zote na Ofisi ya Waziri Mkuu
4295 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment