Thursday, February 11, 2016

MHARIRI MTENDAJI WA MAJIRA ATEMBELEA OFISI ZA TFF

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Majira, Imma Mbuguni (Katikati) akipokea zawadi ya mpira wa soka kutoka kwa Bw. Selestine Mwesigwa, Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mapema leo alipomtembelea Katibu Mtendaji ofisini kwake. Kushoto ni Bw. Ayubu Nyenzi ambaye ni Afisa wa TFF. (Picha na Imma Matukio Blog)


No comments:

Post a Comment