Sunday, February 07, 2016

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, leo, CHamwino mkoani Dodoma. Picha na Bashir Nkoromo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM,

No comments:

Post a Comment