Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akichukua chakula wakati wa hafla ya chakula maalum iliyofanyika leo katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar kwa Vikosi vya ulinzi vilivyoshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame
Maaskari wa vikozi vya ulinzi wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Maaskari wa vikozi vya ulinzi wakijipanga kwa mstari wakati wa kuchukua chakula cha mchana kilichotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)pamoja na viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa baada ya chakula alichowaandalia askari wa vikosi vya ulinzi leo katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame leo baada ya hafla ya chakula maalum ilichokiandaa kwa Vikosi vya ulinzi vilivyoshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar Mjini Unguja,[Picha zote na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment