Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi
(IGP) mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi baada yakumuapisha Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Abdulrahman
Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii
ANGALIA PICHA ZAIDI...
No comments:
Post a Comment