MWENYEKITI WA CCM, JAKAYA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KUZALIWA KWA CCM
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwapungua mkono wananchi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Namfua mjini Singida jana, katika Kilele cha Sherehe za Maashimisho ya miaka 39 ya CCM. Kwa mujibu wa maelezo yake, Sherehe hizo kwake ni za Mwisho akiwa Mwenyeiti wa Chama Cha Mainduzi.
No comments:
Post a Comment