Sunday, March 16, 2014

MATOKEO YA AWALI KALENGA, CCM INAONGOZA KATA 11 KATI YA 13

Taarifa za awali zimesema mgombea ubenge wa jimbo la Kalenga ambaye pia ni mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, ndie anaongoza katika kata 13 ambapo anaongoza katika katika 11, dhidi ya mgombea wa CHADEMA. Taarifa zaidi tutaendelea kuwafaamisha.

No comments:

Post a Comment