Nyumba aliyokuwa anaishi Hayati Bob Marley pamoja na familia yake nyumba hiyo ilijengwa kwa kutumia vitu vya asili vikiwemo makuti na miti kama inavyo onekana .
Hii ni Gari ya Bob Marley ambayo alikuwa anaitumia mpaka mauti yanamkuta, Kwa sasa Gari hiyo imepakiwa kwenye makumbusho huko Kingston Jamaica
No comments:
Post a Comment