Tuesday, May 07, 2013

CHRIS BROWN ASITISHA MAHUSIANO YAKE NA RIHANNA



Wakati akiwa anasheherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza umri wa miaka 24 kwa kufanya bonge la party kati kati ya jiji la Las Vegas New York na Los Angeles muimbaji asiyeisha vituko kila siku Chris Brown ameamua kuweka wazi kuwa yupo yupo single na yupo huru kujirusha na msichana yeyote yule atakaye licha ya kudai bado anampenda Rihanna



No comments:

Post a Comment