Monday, May 06, 2013

HALI ILIVYO JIJINI DSM, MATOKEO YA MVUA ZINAZOENDELEA

Hapa ni eneo la TMJ Mikocheni barabara ya Mwai Kibaki, maarufu kama Maifea, kwa hali hii, mambo yamekuwa mabaya kiasi kwamba kutoka Mikocheni kwa Nyerere mpaka Shopaz Plaza kwa nyakati za asubuhi na jioni tokea Msasani American Embassy mpaka TMJ utatumia si chini ya masaa mawili. Hapa hali ndivyo ilivyo leo, kama picha inavyoonesha. Chini ni mpitanjia baada ya kuvuka barabara akijaribu kuingia kwenye jengo kama anavyoonekana.




No comments:

Post a Comment