Monday, May 20, 2013

JAY DEE, PROF J WATINGA BUNGENI LEO


Kundi la wasanii wa musiki wakiwa nje ya viwanja vya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo asubuhi kama wanavyoonekana kabla ya kuingia bungeni ambapo leo bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo ilisomwa.

No comments:

Post a Comment