Wednesday, May 15, 2013

AIRTEL WAKABIDHI VITABU, AFISA ELIMU MKOA


Toka kushoto ni Meneja Mauzo wa Airtel Zanzibar  bw Brighton Majwala wakiikabidhi sehemu ya vitabu vya sekondari vya masomo ya sayansi kwa Afisa Elimu mkoa wa  Mjini Magharibi -  Hatibu  Tabia Muhsin
vilivyotolewa msaada na Airtel kwaajili ya shule 6 za sekondari Unguja na pemba  zikiwemo  Fujoni, Mahonda, Kidongo chekundu, Pemba, Wesha na Dodean. Anaepokea kwa niaba ya walimu wa shule nyingine (mwenyet-shirt nyekundu) ni mkuu wa skuli  ya Kidongo chekundu - Juma Ramadhani, Vitabu vyote vinathamani ya shilingi milioni 18 Tshs.

No comments:

Post a Comment