Friday, April 26, 2013

WASHIRIKI MISS TABATA

Warembo wanaowania taji la miss Tabata wakiwa katika pozi la pamoja wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya mazoezi yao

Warembo wanaowania taji la miss Tabata 2013  wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mazoezi yao kwa ajili ya kujiandaa na mashindano hayo yanayotarajia kufanyika hivi karibuni





No comments:

Post a Comment