Thursday, April 25, 2013

WASHIRIKI WA DAR INDIAN OCEAN WATEMBELEA MAJIRA



Washiriki wa miss Dar Indian Ocean wametembelea katika offc za kampuni ya Bussines Time Limited (BTL) inayochapa magazeti ya Spoti, Businnes Time pamoja na Majira ambalo linatoka kila siku kwa nia ya kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa na waandishi wa habari 

Warembo hao ambao hivi karibuni wanatimiza ndoto yao ya kumsaka atakaye vaa taji la miss Dar Indian Ocen ziara hii ni moja ya ziara za kujifunza ili kuwajenga uwezo na kuwa na utambuzi wa mambo yanayoteka nchini

Shindano hilo ambalo linatarajiwa kufanyika jumanne April 30 kwenye ukumbi wa National Museum yatashirikisha warembo 11



No comments:

Post a Comment