IMEDAWA kuwa hili ndio Baraza la mawaziri lilotangazwa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
J.Makamba...kilimo chakula na ushirika
Migiro...Afrika mashariki
Sitta...ulinzi
Mwakyembe...Tamisemi
Filikunjombe...uchukuzi
Kigoda....Fedha na uchumi
Prof. Kabudi Elimu na ufundi
Prof. Mwandosya...Utumishi
Mwanri...ujenzi
Dr. Magufuli....maliasili na utalii
Dr. Kitwanga....mifugo na uvuvi
Dr. Tizeba.....mambo ya ndani
Dr. Nagu...viwanda na biashara
Prof. Maghembe....maji
Prof. Muhongo....madini
Membe...mambo ya nje
Prof Tibaijuka....makazi
Prof. Mbawala....sayansi na tecknolojia
Nashauri serikali ya kikwete kuunda balaza la mawaziri lenye kuwajibika kwa uaminifu na uwazi; vinginevyo watanzania wameumia sana kutokana mfumo ulopo wa ufisadi, wizi, unyanyasaji, n.k ila jk uangalie sana sector ya elimu na maliasili, elimu imedorola, hakuna madarasa, maktaba, walimu, mahabara. Mikakati inyoundwa tangu SEDP NA PEDP, BRN Inaishia kuskojulikana, fedha hazifiki kwa wakati, pengine walaji ni wengi.
ReplyDeletenakubali kaka, hilo neno
ReplyDeleteWIZA YA ELIMU INAHITAJI WAZIRI MAKINI NA KATIBU MKUU MAKINI LA SIVYO MADENI YATABAKI KAMA YALIVYO. FEDHA SERIKALI ITATOA LAKINI ZITAENDELEA KUTAFUNWA NA WENYE MENO MAADAM HAKUNA UFUATILIAJI. UZEMBU NDIO UMEPIGA KAMI HUKU MADENI TANGU HA 2003 HAJALIPWA.
ReplyDeletezakayo Tweve,Rais kama kweli hilo ndilo baraza la mawazili tunaomba mheshiwa aanzishe mfumo wa kuwawajibisha mawaziri ambao watakuwa hawawajibiki vizuri katika wizara zao ili tuweze kujenga taifa bora kwa maslahi ya umma!pamoja tutashinda!
ReplyDeleteNampongeza Rais kama kweli atakuwa kamchagua Dr Magufuli kuisimamia wizara ya maliasili na utalii ili atusaidie kuisafisha wizara na kunusuru maisha ya raia!
ReplyDelete