Saturday, April 27, 2013

LEMA MBARONI



Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikiria mbunge wa Arusha Mjini Bw. Godbless Lema (CHADEMA) kwa kosa la kufanya uchochezi  katika chuo cha Uhasibu mkoani humo

Inadaiwa uchochezi huo aliufanya hivi karibuni na kutokomea kusiko julikana ambapo jana saa tisa usiku jeshi hilo lilizingira nyumba ya Bw. Lema iliyopo Njiro na kufanikiwa kumkamata

Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani humo Liberatus Sabas alikanusha madai ya jeshi hilo kutumia nguvu wakati wa kumkamata Bw. Lema


No comments:

Post a Comment