SPIKA wa Bunge Anna Makinda amepigilia msumali maamuzi ya naibu spika Ndugai ya kuwasimamisha baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani CHADEMA Lissu na wenzake kwa siku 5
Spika wa bunge aliweza kuhalalisha adhabu hiyo japo kuwa hakuna kifungu chochote kilichovunjwa lakini aliweka wazi kuwa kuna kifungu kinasema kama hakuna kifungu cha kanuni kiti cha spika kinaweza kufanya uamuzi na ukaingizwa katika kanuni za kuanza kutekelezwa
"Adhabu ya kukaa nje siku 5 ni ya uhalali na itaanza kutumika kuanzia sasa na iwe fundisho kwa wabunge wengine watakao fanya kitendo hiko watapata adhabu ya namna hiyo
No comments:
Post a Comment