Thursday, April 18, 2013

WATU MASHUHURI WALIVYOMZIKA BI. KIDUDE ALIVYOZIKWA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  Naseeb  'Diamond Platnamu' Abdul akisaidia kuutoa mwili wa marehemu Bi. Kidude msikitini kwa ajili ya kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele kijijini kwao Kitumba wilaya ya kati mkoa wa kusini Unguja

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnam wakati wa mazishi ya muimbaji nguli wa taarabu nchini  Bi. Kidude

Mwili wa marehemu Bi. Kidude ukiswaliwa msikitini

Msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond akiwa na mkurugenzi wa THT Luge Mtahaba



Picha kwa hisani ya mtandao

No comments:

Post a Comment