Monday, June 25, 2012

WANAMAOMBI

Wana maombi kutoka Sweden, Bi. Danes Kendes (kulia) na mwenzake, Bw. Devis Frankline (kushoto), wakimfanyia maombi, mfanyabiashara ndogondogo wa ndizi (ambaye jina lake halikupatikana), kando ya Shule ya Uhuru Mchanganyiko Dar es Salaam jana. Wana maombi hao wako nchini Tanzania kushiriki mkutano wa ishara na miujiza. (Picha na mpiga picha wetu)

No comments:

Post a Comment