Tuesday, December 29, 2015

NEW RELEASE: KALA JEREMIAH - MALKIA (OFFICIAL VIDEO & LYRICS)






LYRICS

Song: MALKIA

Artist: KALA JEREMIAH

INTRO: Plexity Records, 0444, 
Never Done before,
The Heavy Touchz Producer Zest.


(VERSE 1 )

Umbo rangi sura,
Nywele macho midomo shingo kifua tumbo rula,
We ndo mke bora,
Tuwachape bakora,
Guu la bia kiuno nyigu hips bastola,
Show ninasimamia,
Kucha nasimamia,
Wanaokuvizia,
Waambie napiga ngumi kali zaidi ya bondia,
Kwangu mimi we ni zali,
Japo kuwa sina mali,
Nadiriki kukuambia we ndo mama yao,
Wanadis mahasidi desh desh zao,
Zugu lulu ng'wanike nikumbatie waoooo.

(CHORUS)

We ndo malkia
We ndo my dear
We ndo malizia
Kwako nimetulia ×2

(VERSE 2)

Zawadi yako ni hii sanaa
Sina maua sina kadi sina hela nyumba na,
Gari sina hata bovu zaidi ya upendo na,
Nitakuthamini siku zote za maisha na,
Ndo maana napigana,
Tuendelee kushikana,
Wenye roho mbaya wapate uchungu wakazae amana,
Nakupenda sana,
Wanaumoa sana,
Wanasubiri tuachane toka mwaka jana,
Marafiki wanafiki na ndugu wasio na maana,
Wakileta umbea hakikisha unawatukana........

(CHORUS)

We ndo malkia
We ndo my dear
We ndo malizia
Kwako nimetulia ×2

(VERSE 3)

Bahari ina nyangumi ina papa na mawimbi,
Dunia ina watu na viatu na mapimbi,
Vijiwe vyao stimbi,
Na nyimbo zao siimbi,
Wameota vigimbi,
Kusambaza umbea mjini mpaka sigimbi,
Wewe ni yule yule michepuko tupa kule,
Milele na milele kama dawati na shule,
Mwendo ni sare sare,
Funga kanga tu party,
Umeme ukizima nazimua palepale,
Na hiyo ndo habareeee,
Zugu lulu ng'wanike nikumbatie waoooo.

(CHORUS)

We ndo malkia
We ndo my dear
We ndo malizia
Kwako nimetulia ×4


No comments:

Post a Comment