Wednesday, June 13, 2012

UTUMIKISHWAJI

Mtoto ambaye jina lake halikupatikana akiangua kilio baada ya karanga na mayai aliyokuwa akiuza kwenye Ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Kawe kumwagika kutokana na upepo mkali kama alivyonaswa na kamera yetu. Wakati tunaadhimisha siku ya kupinga utumikishwaji kwa watoto Duniani yenye kauli mbiu "Haki za binadamu na usawa katika jamii tokomeza utumikishwaji wa watoto"hii ndio hali halisi ya mtoto wa Afrika

No comments:

Post a Comment