Wednesday, June 13, 2012

BIASHARA


Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mnenia, Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma, Abdil Husein (kushoto) na Hamisi Abdallah,  walikutwa na kamera yetu wakiuza vitunguu kwenye kituo cha basi juzi ili kujiongeza pato la familia zao.(Picha na mpiga picha wetu)

No comments:

Post a Comment