Wednesday, June 13, 2012

MAKUMBUSHO

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi  Msisili B, Kinondoni wakiangalia magari matatu kati ya sita mengine (hayapo pichani) yaliyotumiwa na Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza, Mwalimu Julius Nyerere, walipotembelea Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam jana. (Picha na mpiga picha wetu)

No comments:

Post a Comment