Monday, June 25, 2012

RAIS WA SAHRAWI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI





Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi
Mhe, Mohamed Abdelaziz katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Jumapili Juni 25, 2012 ambapo
gwaride la Kijeshi na ngoma za utamaduni zilimlaki kwa nderemo. 
 
PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment