Monday, June 25, 2012

Mtoto Alieibwa Apatikana

Bi.Modesta Sumbuko ( 26 ) wakiwa na mume wake Bw. Emmanuel Matheo ( 28) wakazi 
wa kijiji cha Butende wakiwa wamembeba mtoto wao mchanga  wa kiume wa siku 5 
aliyekuwa ameibwa katika wodi ya wazazi kwenye hospitali ya Wilaya ya Kahama baada 
ya kujifungua kwa njia ya upasuaji kichanga hicho kili ibwa na Bi.Pili Benardi 
( 28 ) aiyekamatwa akiwa kwa mganga wa jadi Bi. Jane Mbalamwezi ( 54) wote wakazi 
wa Kata ya Isaka , Kijiji cha Itogwah'olo kilomita 45 toka Kahama mjini . 
 Picha na Mpiga Picha Wetu


No comments:

Post a Comment