Tuesday, June 19, 2012

Phares Ampa JK Jezi

Rais Jakaya Kikwete akipokea jezi ya timu ya Mpira wa Kikapu
inayocheza ligi ya NBA ya Marekani New York Knicks toka kwa Rais wa
Shirikisho la  Basketball (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares
Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza
mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.


No comments:

Post a Comment