Tuesday, June 19, 2012

Mnyika Atolewa Nje Bungeni Leo

Mb. John Mnyika, Mbunge wa Ubungo,
Ametakiwa kufuta lugha mara mbili...kwa kusema wabunge ni machizi, na kusema tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais JK,  Mh. Lukuvi akamuomba afute hoja kanuni ya 64, akakataa kufuta hoja ya udhaifu wa Rais, kanuni ya 70 imetumika kumtoa nje.

1 comment:

  1. kwa nini nchi hii haipendi kuambiwa ukweli kila ukisema ukweli wanakukandamiza kwa kutumia vifungu feki vilivyopitwa na wakati huu ni uonevu wa hali ya juu kutoka kwa watawala wa nchi hii, watanzania tuamke na kupinga mambo kama haya, ya kukandamiza haki ya kutoa maoni na kusoa watawala wetu ambao kwa muda mrefu wameendelea kufanya mambo mengi yasiyo na manufaa kwa nchi hii bila kukosolewa na bila kuambiwa ukweli....

    ReplyDelete