Tuesday, June 19, 2012

Kongamano la Maadili ya WanaHabari, 2012


Mh. Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo, Bw. Said Ali Mabrouk (Katikati) akizindua machapisho yanayolenga ukuzaji wa Uhuru, Uwajibikaji na taaluma kwa wanahabari nchini. Shughuli hiyo iliyoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania na kufanyikia Zanzibar katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort jana. Kulia ni Raisi wa Baraza la Habari, Jaji Robert Kisanga na kushoto ni Seleiman Seif Omar Meneja MCT Zanzibar.   (picha na Mpiga Picha Wetu)


No comments:

Post a Comment