Wednesday, March 07, 2018

NDAHALO WA KUTAFUTA VIONGOZI WA WATANZANIA WAISHIO DMV UNAENDELEA

Mdahalo wa sehemu ya kwanza wa kugombania kinyang'anyiro cha uongozi wa Waweka Hazina kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika ukumbi wa Indiana Springs Terrance Local Park Sliver Spring Maryland Nchini Marekani.


No comments:

Post a Comment