Friday, March 16, 2018

DKT SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA UTAWALA BORA NA UCHUMI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akifunga Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa KaAtiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati,[Picha na Ikulu]


Waziri asiyekuwa na Wizara maalum Mhe,Said Soud Said akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM wakati alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu]

No comments:

Post a Comment