Saturday, March 24, 2018

BOLT AIBUKIA UJERUMANI, KUCHEZA SOKA BORUSSIA DORTMUND (ANGALIA PICHA)

Na Mwandishi Wetu
Immamatukio Blog

Mshindi wa medali ya dhahabu mara nane katika Olympic, Usain Bolt, ameanza majaribio katika mchezo wa mpira wa miguu nchini Ujerumani katika klabu ya Borussia Dortmund, kwa lengo la kuendeleza kipaji cha soka.

Mjamaika huyo ambaye ni mshindi wa mbio za mita 100 na 200 na hatimaye kuweka rekodi ya dunia kuwa ni mru mwenye mbio Zaidi, alionekana akifanya mazozi katika viwanja vya timu ya Borussia Dortmund mapema ijumaa (jana).

Mwanariadha huyo mkongwe alisikika mara kadhaa akisema moja ya ndoto yake ni kujiunga na kuchezea timu ya Manchester United ya nchini Uingereza.


Tazama picha hapa:-

















No comments:

Post a Comment