Dkt Shein Akutana na Wawakilishi wa Wafanyakazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Shirikisho la Vyama
vya Wafanyakazi Zanzibar,waliofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na Ikulu Zanzibar.]
No comments:
Post a Comment