Monday, August 21, 2017

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AWATULIZA MADEREVA DALADALA WA SIMU 2000

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli akielekea kwenye kituo cha daladala cha simu 2000 mara baada ya madereva wa Daladala kupinga tozo ya shilingi 1000 kama Ushuru wa magari ambapo awali walikuwa wanalipa shilingi 1000

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli, akizungumza na Madereva Daladala waliopo katika eneo la Simu 2000 mara baada ya kuweka mgomo kupinga tozo ya Shilingi 1000 na kudai kuwa barabara hiyo ni mbovu

Askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa wanaimarisha ulinzi katika eneo la kituo cha Daladala cha Simu 2000

No comments:

Post a Comment