Saturday, May 27, 2017

LAPF PENSION YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI

Meneja Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe akifafanua jambo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko huo wakati alipkuwa akizungumza katika mkutano wa siku moja na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habaru uliofanyika leo kwenye jengo la Milenium Tower lililopo Makumbusho jijini Dar es salaam mkutano huo wa siku moja umejadili mambo mbalimbali yanayofanywa na mfuko huo kuhusu mafao yanayotolewa kwa wanachama wake lakini pia kutatua changamoto kadhaa zinazokabili mfuko huo Kulia ni Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri TEF Bw. Neville Meena na katikati ni Mwenyeekiti wa TEF Bw. Theophil Makunga.

Kulia ni Ramadhan Mkeyenge Meneja Mafao LAPF na Elia Shola Afisa Mwandamizi Uwekezaji wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam.

Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika mkutano huo leo.

Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakifuatilia mada katika mkutano huo leo.


 
 Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Mwananchi Bw. Bakari Machumu kushoto na Bw. Idris Jabir kutoka Mwanahalisi wakifuatilia mambo kadhaa katika mkutano huo.


 Rehema Mkamba Afisa Masoko na Mahusiano Mwandamizi LAPF akizungumza jambo katika mkutano huo.

Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri TEF Bw. Neville Meena akizungumza katika mkutano huo katikati ni Mwenyeekiti wa TEF Bw. Theophil Makunga na kushoto ni Meneja Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe

Elia Shola Afisa Mwandamizi Uwekezaji LAPF kitoa mada katika mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam.

Baadhi ya wahariri wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea kwenye mkutano huo leo.

Meneja Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe wa pili kutoka kushoto ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Majira Bw. Imma Mbuguni wakifuatilia mada katika mkutano huo.

Ramadhan Mkeyenge Meneja Mafao LAPF akitoa mada kwa wahariri wa vyombo vya habari wakati wa mkutano huo uliofanyika jijini Dar es salaam.

Rehema Mkamba Afisa Masoko na Mahusiano Mwandamizi LAPF akishiriki katika mkutano huo uliokutanisha maofisa na Wahariri wa Vyombo vya habari.

No comments:

Post a Comment