Friday, February 19, 2016

NAIBU WAZIRI WA UJENZI ,UCHUKUZI NA MAWASILIANO AITEMBELEA MAMALAKA YA MAWASILIANO NCHINI(TCRA)

Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani (Kushoto)akipata maelekezo ya namna ambavyo mawimbi ya radio yanavyoratibiwa kutoka kwa Afisa Masafa Mkuu wa kitengo cha radio cha TCRA Bw. Christopher John (Kulia) anayeangalia katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) Dkt. Ally Simba katika ziara yake jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani(wa tatu kulia) akisikiliza maelezo kuhusu mkakati wa kuanzisha huduma ya anwani ya misimbo kwa njia ya posta kutoka kaimu Mkurugenzi wa Masuala ya Posta cha TCRA Bw.Haroun Lemanya(wa kwanza kuli) (Kulia) anayeangalia katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) Dkt. Ally Simba katika ziara yake jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani(katikati) akionyesha mitambo ya kuratibu simu za mkononi na Mhandisi Mwandamizi wa Mawasiliano idara ya TEHAMA Bw. Sadath kalolo anayeangali wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) Dkt. Ally Simba katika ziara yake jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani(katikati) akionyeshwa namna ambavyo ubadilishaji wa fedha kwa kutumia mitandao ya simu inavyoratibiwa kutoka kwa Mhandisi Mkuu Bw.gabriel Mruma wa kitengo cha TTMS idara ya TEHAMA katika ziara yake jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani(kulia) akipata maelekezo ya namna ambavyo mawimbi ya radio yanavyoratibiwa kutoka kwa Afisa Masafa Mkuu wa kitengo cha radio cha TCRA Bw. Christopher John (Kushoto) katika ziara yake jijini Dar es Salaam.


Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani(Kushoto) akipata maelekezo jinsi televisheni zinavyoratibiwa kutoka kwa Mhandisi. Joel Chacha wa kitengo cha Utangazaji cha TCRA Bw. Christopher John (Kulia) anayeangalia katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) Dkt. Ally Simba katika ziara yake jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment