Sunday, January 24, 2016

KAMPUNI YA ACACIA YAIKABIDHI SHS. MI.10.5 TIMU YA AMBASADOR F.C KAHAMA









Meneja Mkuu wa Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, Asa Mwaipopo (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 10,500,000 kwa katibu wa Timu ya mpira wa miguu ya Ambassodar F.C, Bakari Khalid, msaada utakaoisaida timu hiyo iliyopo daraja la pili ngazi ya mkoa mkoani Shinyanga kuweza kushiriki vyema katika Ligi ya mabingwa wa mikoa nchini. (Na Mpinga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment