Sunday, January 24, 2016

UZINDUZI WA UHAMASISHAJI WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA MKOANI LINDI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Jordan Rugimbana akiwa amembeba mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, mkazi wa Kata na Tarafa ya Nyangamala, Lindi vijijini,wakati wa uzinduzi wa uhamasishaji wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya jamii (CHF) mw8ishoni mwa wiki iliyopita.



Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi (CCM) Ally Mtopa akikabidhi kwa meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa, Fotunata Raymond,Sh,80,000/- ikiwa ni moja ya mchango kwa watu wasio na uwezo kwa ajili ya kujiunga na mfuko wa Afya ya jamii (CHF),wakati wa uzinduzi wa uwamasishaji uliofanyika kata na Tarafa ya Nyangamala, Lindi vijijini




Wanachama wa Chama cha akiba na mikopo cha Ilulu Saccos,wakisiliza nasaha kutoka kwa mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Lindi,Yahaya Nawanda kabla ya kukabidhiwa pikipiki zao





Mwenyekiti wa Chama cha akiba na mikopo cha Ilulu Saccos,Ahamadi Namwadilanga akisoma taarifa mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Lindi, yahaya Nawanda,kabla ya kukabidhi kwa wanachama kumi wa Chama hicho.Picha namba 5524:Mkuu wa wilaya ya Lindi, yahaya Nawanda,akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki kumi kwa wanachama wa Ilulu Saccos.





Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi (CCM) Ally Mtopa akikabidhi kwa meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa,Fotunata Raymond,Sh,80,000/- ikiwa ni moja ya mchango kwa watu wasio na uwezo kwa ajili ya kujiunga na mfuko wa Afya ya jamii (CHF),wakati wa uzinduzi wa uwamasishaji uliofanyika kata na Tarafa ya Nyangamala,Lindi vijijini.





Mkuu wa wilaya ya Lindi, Yahaya Nawanda,akiwasha moja ya pikipiki kabla ya kukabidhi kwa wanachama kumi wa Ilulu Saccos,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ofisi ya Chama hicho mjini Lindi jana.


Picha zote na Said  Hauni, Lindi.


No comments:

Post a Comment