Wednesday, October 07, 2015

RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA MABALOZI.
Balozi mteule wa Ubelgiji nchini Tanzania Mhe. Paul Cartier akikabidhi hati ya utambulisho  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.Balozi mteule wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Felix Costales akikabidhi hati ya utambulisho  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Balozi mteule wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Monica Patricio Clemente akikabidhi hati ya utambulisho  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment