Sunday, October 11, 2015

DKT.BILALI AHUDHURIA KIKAO CHA DHARURA CCM




Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na baadhi ya wajumbe wa CCM kusimama na kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki, marehemu Celina Kombani, wakati wajumbe hao walipokutana kwa dharura jijini Dar es Salaam,kujadili kuhusu mrithi wa jimbo hilo.



Mjumbe waKamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati) wakati wakitoka ukumbini baada ya kumalizika kwa kikao cha dharula cha CCM kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam,



Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati) wakifurahia jambo nje ya ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba, baada ya kumalizika Kikao cha dharura.



Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana, nje ya Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa Kikao cha dharula jana Okt. 10, 2015. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim.

No comments:

Post a Comment