Monday, July 20, 2015

KAGAME CUP: GOR MAHIA Vs KMKM 3-1Wachezaji wa KMKM ya Zanzibar wakishangilia na kumpongeza Mateo Simon baada ya kufunga goli dakia ya 13 dhidi ya Gor mahia ya Kenya katika michuano ya vilabu Bingwa afrika mashariki Cecafa Kagame Cup Mchezo uliomalizika jioni ya leo kwa KMKM kukubali kichapo cha magoli 3-0Mchezaji wa Gor mahia Ronald Omino akimzuia Musa Athuman wa KMKM

BOFYA CHINI KUANGALIA PICHA ZAIDI...Karim Nizigiyima wa Gor Mahia akichuana na Mateo Saimon wa KMKM


Wachezaji wa Gor Mahia wakishangilia baada ya Michael Olunga kufunga goli
No comments:

Post a Comment