Monday, July 20, 2015

KAGAME CUP: AL-KHARTOUM YAFANYA MAUAJI, YASHINDA 5-0


Ikiwa leo ni siku ya 3 tangu ufunguzi wa michuano ya Cecafa kuanza huku mchezo wa ufunguzi ukiwaacha Yanga akipata kichapo dhidi ya Gor Mahia. Mechi ya mchana leo imeikutanisha timu ya Telecom ya Djibout na Al-Khartoum ya Sudan ambayo imeishia kwa timu ya Khartoum kupata ushindi wa mabao 5-0, huku magoli yakifungwa na Salah Bilal (22' & 38), la tatu likifungwa na Ousmaila Baba kwenye dakika ya 66 ya mchezo.

No comments:

Post a Comment