Monday, July 20, 2015

KAGAME CUP: MATUKIO KATIKA PICHA AZAM Vs KCCA - 1-0


KIKOSI CHA AZAM

KIKOSI CHA KCCA


Wachezaji wa Azam wakimpongeza mwenzao John Bocco 'Adebayor' baada ya kuipatia timu hiyo bao la kuongoza katika Dakika ya 13 kipindi cha kwanza katika michuano ya Vilabu Bingwa  afrika mashariki Cecafa Kagame Cup mchezo  waliocheza na KCCA ya Uganda ambapo mpaka Dakika 90 Azam ilizoa Pointi 3.

Mshambuliaji wa Azam John Bocco akichuana na Beki wa KCCA Ochaya Joseph  katika eneo la hatari huku kipa wa KCCA  Ochan Benjamin akiwa katika wakati mgumu.

Kiungo wa Kati wa KCCA Senkumba Hakim akikabana koho na Frank Domayo wa Azam



Kocha wa Azam Steward Hall (Kulia) akiteta jambo na msaidizi wake.

Kocha wa KCCA  Mike Mutebi akionyesha kuchukizwa na rafu aliyoicheza Sure Boy kwa mchezaji wake Wasswa Hassan.

Shabiki maarufu nchini anayejulikana kwa jina moja la Steve ambaye alikuwa mshabiki wa Yanga na sasa amehama timu hiyo na kuishabikia Azam pia jioni ya Leo alitilia uzi wake wa wanalambalamba hao na kuja kuishangilia.

No comments:

Post a Comment