Monday, July 20, 2015

JOKATE AFUNGUKA ISHU YA DIAMOND KUTUMIA VIDEO YAKE

Baada ya kushinda tuzo ya Best Act kwenye tuzo za Mama [Mtv AFrika Music Awards] Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz aliweka picha mbili kuwashukuru mashabiki wake na video moja ikimuonyesha aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Jokate akicheza na kufurahia wimbo wake.

Post hio imechukuliwa kama kumdhalilisha Jokate sababu ya Ukaribu wake na hasimu wa Diamond Platnumz ambaye ni Ali Kiba. Haya maneno ya Jokate baada ya video hii kuonekana mtandaoni.

(BOFYA CHINI KUONA POST YA JOKATE . . .)




No comments:

Post a Comment